SITAMBUI CORONA, ILE PANDEMIC IKO NI YA FEAR NA ILE VACCINE KILA MTU ANAFAA KUA NAYO NI LOVE
- Nare Truly
- Jul 29, 2020
- 3 min read
Updated: Oct 11, 2020
Eeh sitambui corona mimi, ile pandemic iko ni ya fear.Hii mambo ya corona inatumiwa ku install fear kwa watu.Ni one of the biggest propaganda ya Babylon system.Saa hii watu wamejaa na uoga.Watu wanaogopa watu, juu wanaeza ambukizwa corona.Siunajua ile msemo ya divide and conquer, watu wakiwa hawako pamoja hakuna unity na hii ina serve best interests za system juu wata rule watu virahisi bila resistance yoyote.Saa hii watu wanaogopa gava sana, watu wanaogopa kupatikana nje masaa ya curfew.Watu wanaogopa kupatikana bila mask in public, juu gava imeeka penalties flani.Watu wanaogopa kukufa na 'corona'.Kila saa kwa tv kuna updates za Corona, news kila time inashow watu kadhaa wameshikwa na corona na wengine kadhaa wakakufa.
Hii ina pump fear mob kwa watu.

So kwanini system watumie fear to their advantage?.Ni juu energy ya fear iko kwa category ya low vibration.Kila kitu kwa hii universe ni energy in a different form, na kaa hujaijua hivo, jua leo.Sisi wanadamu ni energy na energy ni contagious, energy hu spread.
Na ndio maana msanii akiwa stage hukunywa crowd ya watu wengi. Watu wana tune in kwa ile energy anatoa na wana vibe na yeye. Ushai ingia kwa room watu wakibishana?Immediately unafeelingi hio energy yao ya chuki. Ama ushaitembea ukapatana na lovebirds wakishikana mkono? Unafeelingi hio vibe ya love hata kama huwajui na hawakujui.Eeh sisi ni energy na si hu radiate energy.Watu wengi kwa planet wakiwa in a state of fear ni disastrous juu ina spread, energy hukuwa transmitted.Na watu wakiwa in a state of fear, of which ni a low vibration ni rahisi kuwacontrol na kuwamanipulate.Eeh io ndo plan yao.Kupump fear as much as possible ndo wacontrol watu vizuri.

Kaa we ni janjez unajua sisi ni spiritual beings having a human experience.Eeh sisi ni spirits na mwili zetu ni but vessels, kuna more than meets the eye.Kila kitu seen ni evidence ya the unseen.As above so below, as within so without.Kuna Heaven na Earth, spiritual na physical.So hii ikiwa in mind unafaa kujua vita yoyote na unrest kwa hii dunia yetu ni juu kuna vita na unrest in the spiritual realm.Eeh hizi shida zote ziko juu kuna a spirutual war
in the high places.Ile kitu iko ni kuna spiritual beings zingine in another dimension wanataka kutumia wanadamu kaa battery. Kufeed off energy yao.Kuna spiritual beings wanaitwa Archons, na wao hufeed off energy ya fear. Niko sure unajua mtu flani ama watu kadhaa wahuogopa 'bure'.Unampata akiwa busy akido kitu flani alafu unamapproach anashtuka vibaya sana.Ama uko kwa room flani ukiwa shughli zako, alafu anaingia mind yake ikiwa far na akikuona anafreeze, anakushow, "Ghai, umenishtua aki!!".Chances ni wako possesed na hizi spirits na ndo maana wao hukua constantly under fear.

Najua hii information yote inaeza kua overwhelming but na ku urge usishtuke ama uogope, kuna solution.Kuna njia ya kufight hii vita na kushinda.Sisi wanadamu ni watu powerful sana na ndo maana babylon system imengangana miaka na miaka kutu control.Kitu ya kwanza jua unaji-creatia reality yako, hakuna mtu ama kitu inaeza kuforce unwillingly kufanya kitu.For instance mtu akikutusi, ni upon you ku choose vile utareact. Unaeza amua kumrudishia matusi ama kumpiga ama unaeza amua kuignore.Juu energy ni transmittable, unaeza amua ku tap in kwa energy yoyote ile ama u choose kukosa kuflow na hio energy.So you see,all along power ikona sisi.Sisi ndo hu knowingly ama unknowingly choose ku engage na energy yenye inacome kwetu, na ndo maana tunafaa kua concious. Sisi wenyewe ndo hu power hii system.Tukona power ya free will.Power ya kufanya vitu juu tumeamua na tunataka kuifanya.Power ina lie within us all.Na solution ya hii pandemic ya fear ni ku embrace Love.Juu love ndio the highest vibration kwa universe. Tujipende na tupendane tukue united as one.Tukiwa kwa hii state, Babylon ina crumble into pieces.Juu babylon ina rely sana on separation.

Sijui kaa unajua, but research imeonyesha fear ina weaken immune system.So unaeza imagine vile fear ina fuel hii ugonjwa ya corona.Tusiishi in fear but tu let love itu guide.Me najipenda na nahope unajipenda.Kaa hujipendi jua nakupenda na kuna mtu mwingine anakupenda,tena sana.Tuishi in Love juu Love ndo the highest vibration. So sad kuona 'wajanjez' wa hii dunia wakitafuta vaccine na vaccine iko ndani yetu si wote.Ndio maana sitambui hii shit ya corona, juu ile pandemic iko ni ya fear na
vaccine ni Love.
Ni Yours Truly,
Nare Truly.
コメント