top of page

YES YOU CAN....YES WE CAN


Ushai pata idea ya kufanya kitu flani, alafu tena uka get thoughts za doubts, thoughts za kujishuku..thoughts zina sema nikama hauezi?

Ushai wonder, ni kwanini only a few people kwa hii life hu make it, na kufanya vitu za ajaab, vitu za legacy....na the majority wana end up kuishi a low life na kusahaulika nikaa hawajai exist? Reason ni juu Babylon imeishi ku enslave watu mentally na kuwa brain wash wajione worthless na powerless, ndio wazidi kuwa slaves wa sysytem na wasiwahi hata fikiria ku revolt ama kufanya shit juu wanajiona powerless. Wale hu make it kwa hii life, ni wale watu hujitambua na wanajua ukweli.Mwanadamu ni mtu powerful sana na anaeza achieve anything ana put his mind to.


System imejengwa na foundation ya lies, na moja ya hizo lies ni ati wewe ni powerless.

Ati wanadamu wanafaa kukuwa na leaders, na wanafaa ku bow down to an exterior power.Hizi ni vako za system na zimekuwa conditioned kwa brains za watu

kupitia Governments na Religion.

System itakufanya u beleive tunafaa kuwa na government na leaders, as if mwanadamu haezi ji lead.After all, hao leaders si ni flesh and blood kaa sisi?.Kila mtu anafaa ku lead life yake na kutake responsibility ya life yake.Watu kukosa kujilead na kutake responsibility ya life yao na kupeana hii responsibility kwa system ndio reason life ya watu wengi inakuaga worthless.Life ya kukuwa na mindset ya 'victim' na kufeel nikaa hauezi fanya any.

System imefanyanga watu wakue na hii mentality harmfull pia kupitia Religion.Juu religion itafunza mtu ku submit to a higher power than himself, 'GOD'. Na hii mentality inasema wewe ni powerless na unafaa kutii another being more powerful than you.What this does kwa psyche ya mtu ni kumfanya aone hawezi fanya shit.Na kama ana hope kuifanya, labda akue dependent on a higher power than himself.Hii mentality ndio imefanya watu most wasi acomplish their dreams, wasi follow their heart desires of which ni possible, na mtu yoyote anaweza zi realize, with a proper mindset.Man anafaa kujua yeye mwenye in GOD.



Truth ni, Man ni mtu powerfull sana.System ndio ime deceive watu kujiona quite the opposite.Man ni powerfull, na akona uwezo wa ku achieve anything, eeh anything..., he puts his mind to.Kwa hii life tunajua watu walirealize vitu za ajab.Vitu watu wengine hawakudhani ingeweza kuwa possible. Akina Albert Einstein,Bob Marley, Mohammed Ali...e.t.c .Hawa ni watu walikuwa kama mimi na wewe, made of flesh and blood.But ile kitu ili wa set apart from the rest of the men, ni their state of mind.

Mentality yao haikuwa ya kujiona powerless na ya kujiona hawawezi fanya ene, to the contrary, ilikua ya kujitambua na ya kujua wao ni wa powerful na wanaweza achieve anything.Ndio mtu aweze ku achieve anything anafaa kujiamini na kujua akona power ya kufanya ile kitu anataka ku do.



It's high time watu waget rid of hii self-inhibiting mentality na ku pursue their heart's desires, kama wanataka ku realize their goals and dreams.

So next time uki purpose ku do kitu yoyote na u get thoughts za doubt ndani yako, kumbuka wewe ni powerfull.Na indeed 'IMPOSSIBLE IS NOTHING'.YES YOU CAN, YES WE ALL CAN achieve anything we set our hearts to do.



Ni Yours Truly,

NARE TRULY.

Comments


© 2023 by Nare Truly. Proudly created with Wix.com

bottom of page